087 - Chakula cha Mwisho from chakula cha jioni Watch Video
Preview(s):
Gallery
Play Video: (Note: The default playback of the video is HD VERSION. If your browser is buffering the video slowly, please play the REGULAR MP4 VERSION or Open The Video below for better experience. Thank you!)
Description: Maandiko ya kumbukumbu: Matayo 26: 31-35; Marko 14: 22-26; Yohana 13: 21-30nYesu ala mlo wa mwisho wa jioni na wanafunzi wake.nnSwali 1: Unafikiri ungefanya nini wakati Yesu aliposema mmoja wao angemsaliti? Je uko na uwezo wa kumsaliti Yesu?nnSwali 2: Kama ungelifahamu mapema kwamba kuna mtu angekusaliti, ungelimtendeaje mtu yule? Linganisha hiyo na jinsi Yesu alivyomtendea Yuda.nnSwali 3: Ni kwa nini inawezekana kwa Shetani kumuingia mfuasi wa Yesu na kumshawishi kutenda dhambi mbaya?nnTazama,